• Isikupite Hii

  January 4, 2017

  Hawa ndio matajiri 10 wa Dunia, Bill Gates bado anaongoza? Check hapa - forbes 2016.

  Bill Gates anaendelea kuwa mtu tajiri zaidi duniani kwa utajiri wa dola bilioni 75, licha ya kupungukiwa dola bilioni 4.2 kutoka mwaka jana.

  Ameendelea kuwa namba moja kwa miaka mitatu mfululizo. Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg amekuwa na mwaka bora zaidi kuliko mabilionea wote.

  Tajiri huyo mwenye umri wa miaka 31, ameongeza dola milioni 11.2 kwenye utajiri wake hadi kushika nafasi ya 6 kutoka nafasi ya 16 mwaka jana.

  1. Bill Gates – $75bn – Marekani
  2. Amancio Ortega – $67bn – Hispania
  3. Warren Buffett – $60.8bn – Marekani
  4. Carlos Slim Helu – $50bn – Mexico
  5. Jeff Bezos – $45.2bn – Marekani
  6. Mark Zuckerberg – $44.6bn – Marekani
  7. Larry Ellison – $43.6bn – Marekani
  8. Michael Bloomberg – $40bn – Marekani
  9. Charles Koch – $39.6bn – Marekani
  10. David Koch – $39.6bn – Marekani


  Bonyeza hapa kusoma orodha nzima

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.