• Isikupite Hii

  January 21, 2017

  Maradhi haya hutibiwa na ulaji wa mboga ya majani mchicha.

  1. Kuumwa mgongo

  2. Kusafisha njia ya mkojo

  Isikupite hii: faida za kunywa maziwa mtindi

  3. Kusafisha damu

  4. Unatibu tigo

  5. Unatibu minyoo

  6. Unatibu damu

  7 .Baridi yabisi

  Isikupite hii: Ndizi hupunguza maumivu ya hedhi.

  8. Tezi la shingo

  9. Homa

  10. Kuongeza damu

  11. Unatibu maumivu

  12. Tonic ya nywele

  13. Unasaidia kupata haja ndogo kwa wingi

  Isikupite hii: Siri ya kuwa na ngozi nzuri na yenye afya.

  14. Kutibu Mgongo

  Chukua mchicha ponda. Chua mara 3 kwa siku. Usiku unapasha moto mchicha kisha unufunga mahali panapouma. Lala nao wakati vuguvugu la joto lake lenye maji ndani (dawa) ikiingia ndani fanya hivyo kwa siku 5, ukibadilisha kila siku (fresh)

  15. Tiba ya tezi ya shingo

  Chukua mchicha kiasi kidogo, ponda, fungia shingoni pale penye uvimbe wakati unapolala kwa kitambaa, kwa muda wa siku 5.

  Matayarisho
  Chukua mchicha kilo 1 chemsha maji lita 2 na nusu.
  Yakichemka loweka mchicha kwa dakika 15. Tumia kikombe. Ni bora utumie yote kwa siku . Dozi ni siku 5.