• Isikupite Hii

  January 7, 2017

  Kijana mwingine wa kitanzania 'Dennis Mhina' afanya maajabu Canada.

  Mchezaji wa timu ya taifa ya kuogelea ya vijana Kijana Dennis Khamis Mhina akipokewa na ndugu jamaa na marafiki wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere leo alasili akitokea nchini Canada ambako alishinda na kushika nafasi ya 4 'Nne' katika mashindano ya vijana ya dunia ya kuogelea yaliyofanyika nchini humo hivi karibuni.
    Tokeo la picha la Dennis Khamis Mhina
  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

  Kupitia FacebookTwitterInstagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.