• Isikupite Hii

  January 3, 2017

  Miriam Mauki - Ni wanaume wachache sana wanayo ijua thamani yako.

  Ni Wanaume Wachache wanayo ijua thamani yako.
  -Wengi hukutumia pale wanapo kuhitaji nakukuacha. Wachache wanao jua kujitoa kwako.
  -Wengi hutumia utu wako na kukuteketeza. Wachache wanao jua umuhimu wako
  -Wengi hutaka uwafurahishe wao lakini siwao kukufurahisha wewe.Wachache wanao weza kukutanguliza wewe kwanza
  -Wengi huku umiza nakukuachia vidonda. Wachache wanao weza kukupa hakiyako
  -Wengi huwaza kuhusu wao kwanza. Wachache wanao weza kukutetea 
  -Wengi hukuangushia lawama bila kujali uthamani wako. Wachache wanao weza kukuhudumia nawewe uka jihisi malikia
  -Wengi hutaka wewe uwafanyie wao.
  Ziko sababu tilioni zakuonyesha ushujaa wako.

  WEWE NI MWANAMKE SHUJAA.

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.