• Isikupite Hii

  January 25, 2017

  Hizi ni baadhi ya aina sugu za tabia mbaya za ngono. (some of sexual addiction)

  1. Kujichua (masturbation)

  2. Picha za ngono (pornography)

  3. Ukahaba (prostitution)

  4. Ushoga (homosexuality)

  5. Usagaji (lesbianism)

  6. Kuonyesha hadharani sehemu nyeti (exhibitionism)

  7. Kufanya mapenzi na maiti (necrophilia)

  Kuna aina tatu za watu wenye matatizo ya kufanya ngono na maiti.

  i. Necrophilic homicide 
  Ni mtu anaye fikia hatua ya kufanya mpango wa kumuua mhusika ili apate nafasi ya kufanya naye ndono akiwa maiti.

  ii. Regular necrophilia 
  Ni mtu anayefanya mapenzi na maiti ambayo tayari imekufa kwa sababu zingine.

  iii. Necrophilic fantasy 
  Ni mtu mwenye mawazo na picha ya kufanya mapenzi na maiti lakini bado hajapata nafasi ya kutimiza azma hiyo.

  8. Kuchungulia wengine wakifanya ngono (voyeurism)

  9. Kufanya vitendo vya ndono na mtoto mdogo (pedophilia) 

  10. Kufanya mapenzi na vitu visivyo hai (fetishism) 

  11. Kufanya mapenzi kwa sehemu tu ya mwili (partialism)

  12. Kufurahia ngono kupitia maumivu ya mwingine (sadism) 

  13. Mtu kufurahia maumivu ya kingono anayofanyiwa (masochism)

  14. Mapenzi ya simu (indecent phone calls)

  15. Manyanyaso ya kimapenzi kwa mtoto (child molesting) 

  16. Kufanya mapenzi baina ya ndugu wa damu (incest) 

  17. Kubakwa au kubakwa (rape) 

  18. Kufanya mapenzi na wanyama (bestiliality)

  19. Matendo ya kiharifu (violence)