• Isikupite Hii

  January 26, 2017

  Yajue mataifa 5 yanayopinga uwepo wa Mungu.

  Utafiti Unaonesha kwamba 63% ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu, yafuatayo ni Mataifa 5 yanayoongoza kwa idadi kubwa ya watu wasiyoamini uwepo wa Mungu (Atheism).

  1. China. 
  Ikiwa na wapagani asilimia 30%, huku asilimia 47% ya watu hawaamini kabisa kama Mungu yupo.

  2. Japan. 
  Ikiwa na asilimia 31% ya wapagani, huku asalimia 31% ya wajapani hawaamini kabisa kama Mungu yupo.

  3. Czech Republic. 
  Ikiwa na 48% ya wapagani, huku asilimia 30% ya wananchi wanasema kwamba Mungu hayupo.

  4. France. 
  Asimilia 29% ya wafaransa hawaamini kabisa kama Mungu yupo.

  5. Korea Rep (South). 
  Ikiwa asamilia 15% watu wasioamini kwamba Mungu yupo.