• Isikupite Hii

  May 10, 2017

  Mambo 7 ambayo mwanaume wa kweli hawezi kufanya.

  1. Hawezi kuruhusu hofu iwe kikwazo cha furaha na mafanikio yake.

  2. Hafanya mambo ili tu kuwa furahisha wengine.

  3. Hawezi kuonea haya mwonekano wake ama staili yake.

  4. Hawezi ishi na kinyongo ndani yake.

  5. Hawezi kukimbia changamoto zinazomkabili.

  Isikupite hii: Njia 9 Za Kuufanya Ubongo Wako Uwe Na Ufanisi Zaidi.

  6. Hawezi kuogopa kuchukua maamuzi magumu.

  7. Hawezi kuruhu kiburi/hisia zake ziharibu kazi au mahusiano yake.

  8. Hawezi kujitenga mbali na familia yake.