• Isikupite Hii

    June 6, 2017

    Download wimbo: Umenifanya ibada - Paul Clement.

    Leo tumepata fursa ya kukusogezea wimbo huu Umenifanya Ibada toka kwa Paul Clement. Ni moja kati ya nyimbo ambazo zimekonga sana mioyo ya wasikilizaji ndani na nje ya nchi.