• Isikupite Hii

  August 3, 2017

  Dalili kuu 4 za kipindupindu.

  1. Kuharisha  mfululizo au mara kwa mara bila tumbo kuuma ambako kunaweza kuambatana na kutapika. 

  2. Kinyesi au matapishi huwa ya majimaji yasiyo na harufu, yanayofanana na maji yaliyooshewa mchele. 

  Isikupite hii: Magonjwa 10 muhimu ya kupima na mpenzi wako kabla ya kuzaa mtoto.

  3. Kusikia kiu sana, macho kudidimia na ngozi kusinyaa ambavyo hutokana na upungufu wa maji mwilini.

  4. Kuishiwa nguvu,kuhema haraka haraka na kulegea. Hali hii hutokana na upungufu wa maji na madini mwilini.