• Isikupite Hii

  August 1, 2017

  Faida za kiafya kwa kula karoti.

  Watu wengi huitumia karoti kama kiungo ama kikolezeo cha mboga. Mbali na kutumika kama kiungo cha kwenye mboga, karoti ina faida mbalimbali kwa afya ya mwanadamu. Karoti ina uwezo wa kutibu matatizo yafuatayo ya kiafya.

  1. Inalainisha tumbo.
  2. Inapigana na upungufu wa damu. 
  3. Inasaidia kuzuia Saratani. 
  4. Inasaidia kutibu Baridi yabisi 
  5. Inasaidia Kusafisha damu. 

  Isikupite hii: Jinsi ya kupika chapati.

  6. Inatibu Vidonda vya tumbo. 
  7. Inasaidia Kutibu chunusi. 
  8. Inasaidia kutibu Macho.
  9. Inasaidia kutibu Koo na Kibofu cha mkojo. 
  10. Inasaidia kulainisha na kunawirisha ngozi na kuifanya yenye afya.

  MATAYARISHO.
  Chukua karoti kilo 1, ponda au twanga iwe laini, chemsha kwa dakika 15 ndani ya maji lita 1 na nusu au 2, chuja kunywa juisi yake kwa vidonda vya tumbo au saratani ya tumbo na matumbo au saratani ya kizazi, tumia nusu kikombe cha chai miezi 3 mpaka 6. Kwa ajili ya kurembesha uso nawia juisiyakekila siku asubuhi mfululizo kwa siku 5.