• Isikupite Hii

    January 4, 2018

    Download wimbo: Yu hai Jehova - John Lisu

    Habari leo tena tumepata fursa ya kukusogezea wimbo mpya kabisa toka John Lisu, wimbo unaitwa Yu hai Jehova. Lisu ni mmoja kati ya waimbaji wenye uwezo wa kipekee kabisa hapa Tanzania na hufanya live recording.