• Isikupite Hii

    February 8, 2018

    Download wimbo: Soma mwanangu - Bony Mwaitege ft Bahati Bukuku

    Habari, leo tumekusogezea wimbo toka kwa Bony Mwaitege akiwa na Bahati Bukuku, wimbo unaitwa Soma mwanangu. Wimbo  huu unatia hamasa kwa vijana na watoto ambao hawaoni umuhimu wa kutia mkazo katika masoma yao.