• Isikupite Hii

  April 12, 2014

  HAYA NDIO MASWALI YATAKAYOPELEKEA KUPATIKANA MSHINDI WA OFA YA TIM HEAVEN

  Jinsi ya kujibu maswali
  1.utajibu maswali haya kwa kucoment chini ya hii post
  2.unapojibu andika jina lako na namba yako ya simu
  3.wa kwanza kujibu maswali yote kwa usahihi ndio atakuwa ndio mshindi wetu
  N.B:vigezo  na masharti kuzingatiwa
  Maswali ni kama ifuatavyo
  1.Neno la Mungu linasemaje katika kitabu cha warumi 1:16
  2.Taja angalau collabo (nyimbo za kushirikiana) za gospel hihop mbili ambazo unazijua za hapa Tanzania,taja majina ya nyimbo na waimbaji
  3.Nini kirefu cha Y.O.M  TZ?je katika t shirt zinazotolewa na Y.O.M project kumeandikwa maneno gani yaandike