• Isikupite Hii

  May 12, 2014

  HII NI KWA VIJANA WOTE WA TANZANIA, KENYA NA UGANDA!

             
             Pastor Amani Charles "Mimi Ni Kijana Wa Nguvu Ninae Mpenda Na Kumtumikia Mungu Kwa Moyo Wangu Wote Na Siionei Haya Injili Ya Kristo Kama Vile Mtume Paulo Alivyosema Katika "Warumi 1:16"  , Mimi Ni Mwalimu Wa Praise & Worship Team Kanisani Kwetu, Nina Ndoto Za Kuwa Mwimbaji Wa Kimataifa, Mimi Napenda Sana Kusikiliza Nyimbo Za Gospel Hip Hop, Inshort Hii Hudama Inanibariki Sana Moyo.

    

  Note: Na Wewe Pia Unaweza Kutokelezea Kama Pastor Amani Hapo Juu, Unachotakiwa Kufanya Ni Kutuma Picha Yako Kali Na Maelezo Kidogo Kuhusu Wewe Lakini Pia Jinsi Gani Unavyoipenda Huduma Hii Ya  Gopsel Hip Hop. Tuma Hapa (TimHeaven100@Gmail.com).