• Isikupite Hii

  June 4, 2014

  MUSIC: ELIJAH - ELANDRE FT TASILA MWALE.

     
  Baada Ya Ukimya Wa Mda Mrefu, Rapper Mwenye Skills Na Uwezo Mkubwa Sana Hapa Nchini  ELANDRE Amechia Ngoma Yake Mpya Inayoenda Kwa Jina La ELIJAH  Aliomshirikisha TASILA MWALE.
            
  On My Side Hii Ngoma Ni Moja Kati Ya Ngoma Kali Ninazozipitisha. ELANDRE Amewaomba Vijana Na Watu Wote Washare Hii Ngoma.