• Isikupite Hii

  July 15, 2014

  NAFASI ZA MASOMA KATIKA CHUO CHA BIBLIA CHA HOPE FOR THE NATIONS BIBLES SCHOOL.

  Masomo ya cheti kwa mwaka mmoja yatakayoanza tarehe 25/08/2014 shule ya biblia itaendeshwa siku za kati kwanzia saa mbili asubuhi.
  ADA YA SHULE


  * Ada ya fomu ya kujiunga ni Tsh. 5000
  * Ada ya masomo lazima ilipwe kwenye account ya benki kabla ya kuingia chuoni. Njoo na reipt yako
  * Ada ya shule ya muhula wa kwanza  25/08/2014 hadi 28/11/2014
  * Ada ya masomo ni 160000
  * Ada ya shule ya muhula wa pili 06/01/2015 hadi 29/05/2015
  * Ada ya masomo - 160000!Kwa Maelezo Zaidi Piga Simu Namba +255712348032!