• Isikupite Hii

    August 30, 2014

    MUSIC: NENO - SHWARI KUU VEE JAY

                         Shwari Kuu Vee Jay Ni Moja Kati YA WanaGopsel Hip Hop Wakubwa Hapa Bongo! Na Album yake Ni Moja Kati Ya Album Kali Sana Nilizozisikia! Mbali Na Hayo Yote Vee Jay Ameachia Ngoma Mpya Inayo Kwenda Kwa Jina La "NENO".....!    Pakua hapa wimbo mpya toka kwa ShwariKuu Vj