• Isikupite Hii

    August 16, 2014

    MUSIC: KANISA - GEORGE SILAA FT FIDEA LESLIE.


    George Silaa Ameachia Wimbo Unaoitwa "KANISA" Mpya Akimshirikisha Moja Kati Ya Waimbaji Wakali Mjini Moshi Fidea Leslie Aliesikika Katika Korasi Ya Wimbo Huu! Mbali Na Hayo Yote George Silaa  Amehaidi Kuachia Kazi Nyingine Kali Zaidi!