• Isikupite Hii

    August 14, 2014

    EVENT: YESU OKOA MITAA CONCERT - 24 AUGUST 2014. USIKOSE.    Ni jumapili ya tarehe 24 August 2014 pale DCT- Tabata shule, wote mnakaribishwa, kuanzia saa nane mchana na kuendelea.

    Wakali kibao wa Muziki wa kizazi kipya watakuwepo na kuhudumu. usikose.