• Isikupite Hii

    November 11, 2014

    EVENT: WANYENYEKEVU WA BWANA CONCERT - 23 NOVEMBER 2014.


    Zikiwa Zimebakia Siku Chache Tu Kufikia Tarehe 23 November 2014, Ambayo Ndio Ile Siku Inayosubiriwa Na Maeleflu Ya Wakazi Wa Dar Es Salaam Kwa Ajili Ya Tamasha Kubwa La WANYENYEKEVU WA BWANA Pale NGURUMO YA UPAKO MINISTRY KAWE DAR ES SALAAM.

    Apostel Bashando Ambae Ndiye Mdhamini Mkuu Wa Tamasha Hili Ametoa Wito Na Nafasi Ya Kuimba Katika Tamasha Kwa Waimbaji Mbali Mbali Ambao Huwa Awapati Nafasi Ya Kuhudumu/Kuimba Katika Matamasha Makubwa. Unachotakiwa Kufanya Ni Kutuma Wimbo Wako Kwenye Hii Namba +255713700627.

    Waimbaji Mbali Mbali Wanakuwepo! Usikose!