• Isikupite Hii

    January 5, 2015

    BIBLIA INASEMA NINI JUU YA NDOA ZA JINSIA MOJA??

            Biblia Inasema Kwa Uwazi Bila Kuficha Kwamba Ndoa Za Jinsia Ni Dhambi. (Mwanzo 19:1-13, Mambo Ya Walawi 18:22, 20:13, Warumi 1:26-27, 1 Wakorintho 6:9). Warumi 1:24-27 Inaelezea Kwamba Ushoga Ama Ndoa Za Jinsia Moja Ni Matokeo Ya Kutokumtii, Ama Kumkataa MUNGU. Lakini Pia 1Wakorintho 6:9 Inasema Wazi Kwamba Wote Wanaofanya Vitu Vya Aina Hii Hawataurithi Ufalme Wa MUNGU.

          Mwisho, Biblia Aijasema Kwamba Ushoga Ndio Dhambi Kubwa Kuliko Zote. Dhambi Zote Ni Sawa Mbele Za MUNGU. Msamaha Wa MUNGU  Upo Hata Kwa Wale Wanaofanya Ushoga Kama Kwa Wezi, Wazinzi, Wauwaji Na Nk.  Pia MUNGU Amehaida Kutupatia Nguvu Za Kuishinda Dhambi Zote Pamoja Na Dhambi Ya Ushoga, Kwa Wale Wote Watakao Mwamini Kristo Kama Bwana Na Mwokozi Wa Maisha Yao. (1 Wakorintho 6:11, 2 Wakorintho 5:17, Wafilipi 4:13).