• Isikupite Hii

    January 16, 2015

    "KIRK FRANKLIN" NI MMOJA KATI YA WAIMBAJI MATAJIRI DUNIANI.


    Kirk Dwayne Franklin Ama Kwa Jina Maarufu Kirk Franklin Ni Mmarekani, Amezaliwa Mwaka 1970 Mwezi Wa Kwanza Tarehe 26 Fort Worth, Texas, Uko Marekani. Kirk Franklin Anamiliki Zaidi Ya Dollar Million 8.5 Ambazo ni Sawa Na Billion 14.6 Za Kitanzania.

    Kirk Franklin Ni Muimbaji Wa Nyimbo Za Injili, Directa Wa Kwaya, Na Pia Ni Mwandishi (Mtunzi). Alianza Kuwika Miaka Ya 1990 Akiwa Na Kikundi Alicho Kianzisha, kikundi Hicho Kilikuwa Kinaitwa Kirk Franklin and The Family. Album Yao Ya Kwanza Iliuza Nakala Zaidi Ya Million 1. Lakini Pia Ameshinda Tuzo Nyingi Sana, including few Grammys.

    Picha Hapo Chini Ni Kirk Franklin Akiwa Na Mke Wake Tammy Collins Franklin.