• Isikupite Hii

    January 21, 2015

    EVENT: RAISE YOUR STANDARD CONCERT - 24 JAN 2015. USIKOSE.


    RAISE YOUR STANDARD Event, Ni Jumamosi Ya Tarehe 24 Mwezi Huu, Kuanzia Saa Saba Na Nusu Mchana Hadi Saa Kumi Na Mbili Jioni. Mahali Ni SAKINA, ARUSHA. 

    Waimbaji Watakao-hudumu Ni Shwari Kuu VeeJay, Novic BCVm, Mnene Makweta, Uncle Emma, Fireplace Dancing Group, Church Boy, Efra Musica Na Wengine Wengi. 

    Kwa Maelezo Zaidi Piga Simu Namba +255 756 239 677.