• Isikupite Hii

  January 11, 2015

  EVENT: WORSHIP TILL DAWN SEASON III. USIKOSE.


  Praise na Worship Team ya Kanisa La Pentekoste Tanzania Kigamboni Inakualika Kwenye Mkesha Wa Kusifu Na Kuabudu (Tar 16/01/2015) KLPT Kigamboni. Wageni ni Patmos Voice of Worship, Alive crew na Thomas  Amosi na wengine wengi
  Kuanzia saa tatu usiku. Psalms 86:9-10. MTU WA MUNGU USIPANGE KUKOSA.

  Kwa Maelezo Zaidi Piga Simu: 0713191967
                                                    0682014663