• Isikupite Hii

  February 16, 2015

  EVENT: AMINI CONCERT - TAREHE 22 FEB 2015.  Yesu Okoa Mitaa Presents "AMINI CONCERT". Ni Tarehe 22/2/2015, Katika Kanisa La God's Kingdom Embassy Pale Kimara Suka, Nyuma Ya Kituo Cha Mafuta Cha Gapco. NI BURE HAKUNA KIINGILIO.

  Siku Hiyo Chief Hope Atakuwa Akizindua Single Yake Ya Kwanza Inayokwenda Kwa Jina La Amini 

  Jeshi Zima La Yesu Okoa Mitaa Likiongozwa Na Rungu La Yesu Litaambatana Bega Kwa Bega Na Chief Hope katika uzinduzi wa single hiyo.Wanajeshi Wa Yesu Okoa Mitaa Wamejipanga Kisawasawa Kabisa Na Wametangaza kwamba Moto Wa Kristo Lazima Uwake Siku Hiyo Ya Uzinduzi Wa Singo Hiyo. 

  Rungu La Yesu, SirMbezi, Eka Injili, Morefire, Magele Winner, George Maige, Esta Mbunguni, Brian Mwimba, Amani Shabani Na Wengine Wengi. 

  Usikose

  Kwa Maelezo Zaidi Piga Simu Namba +255 716 241 358
                                                           +255 714 153 369
                                                           +255 712 348 032