• Isikupite Hii

    March 30, 2015

    EVENT: PASAKA GOSPEL HIP HOP CONCERT ARUSHA CITY. NI JUMATATU YA TAREHE 6/4/2015.


    Tamasha Hili Sio La Kukosa. Watakuwepo Waimbaji Mbali Mbali Kama Vile Novic BCVm, Shwarikuu Vj, George Silaa, Mnene Makweta Na Wengine Wengi.

    Katika Kanisa La EVANGALISM & DISCIPLESHIP (Kambi Ya Chupa Madukani, Barabara Ya Moivaro Lodge) Kuanzia Saa 8:00 Mchana. HAKUNA KIINGILIO.