March 21, 2015

Jennifer Mgendi aachia albamu mpya.

Jennifer Mgendi ni mmoja kati ya waimbaji wakongwe sana wa muziki wa injili Tanzania, bali kuimba Jennifer pia ni muigizaaji wa filamu za kiwahili. Na hvi karibuni ameachia album mpya.

Akizungumza Jennifer Mgendi amesema albamu hiyo ina jumla ya nyimbo saba ambazo ni Wema ni Akiba, Nani kama Mungu?, Nakungoja aliomshirikisha Mchungaji Abiudi Misholi, Kimbilia Msalabani, Nakuhitaji Roho, Tenda nishangae na Wastahili.