April 12, 2015

EXCLUSIVE: ANGEL BENARD KUZINDUA DVD ALBUM YAKE YA 'NEW DAY' TAREHE 10 MAY 2015.

Kupitia Ukurasa Wake Wa Facebook Angel Benard Amesema "Nawashukuruni sana kwa kunisaidia kunijuza juu ya song iliyowahudumia kutoka katika album ya New day.

NEED YOU TO REIGN imetajwa zaidi. Huu wimbo niliupata palepale studio. I heard the beat and hapohapo maneno yakaflow... Yes, ilikuwa ni desire yangu sana kujazwa zaidi Na zaidi, nilikuwa na kiu sana ya kukutana na Mungu katika hicho kipindi. 
Mungu alifanyika halisia zaidi kwangu after that song, ikawa ni Maombi yangu na raha yangu zaidi na zaidi.
My message: Kiu yangu ni kuongezeka zaidi katika kumjua Mungu. I believe kama tusipoishi Kwa mazoea kuna mambo zaidi tutayajua na kuyapata kupitia Mungu.
Namshukuru Mungu sana Kwa kuwahudumia. Get ready for DVD launching tarehe 10 may." 

Nawashukuruni sana kwa kunisaidia kunijuza juu ya song iliyowahudumia kutoka katika album ya New day. NEED YOU TO...
Posted by Angel Benard on Sunday, April 12, 2015