• Isikupite Hii

    April 17, 2015

    BREAKING NEWS: NYUMBA YA ASKOFU GWAJIMA IMEZUNGUKWA NA POLISI.


    Nyumba Ya Askofu Gwajima Imezungukwa Na Defender (Magari) Ya Polisi, Na Wameenda Kwa Askofu Gwajima Bila Kutoa Taarifa Yoyote. Amepost Askofu Gwajima Kupitia Ukurasa Wake Wa Facebook.


    Nyumba ya askofu Gwajima imezungukwa na polisi wakiwa kwenye defender. Zipo nyingi na wamekuja bila taarifa taarifu wengine.
    Posted by Pastor Josephat Gwajima on Thursday, April 16, 2015