• Isikupite Hii

    April 8, 2015

    EXCLUSIVE: EKA INJILI KUACHIA WIMBO MPYA TAREHE 12/04/15.


    Eka Injili Ametangaza Rasmi Kuachia Wimbo Mpya Tarehe 12/04/15, Eka Alisema Wimbo Huo Atakao Uwachia Uko Kwenye Mixtape Yake Anayoiandaa Inayokwenda Kwa Jina La "Emmanuel Ever I". 


    Download Latest Song From Eka Injili - USINIACHE