April 16, 2015

EXCLUSIVE: WAFAHAMU VIJANA 5 WANAOFANYA VIZURI ZAIDI KATIKA MUZIKI WA INJILI.

Hawa Ndio Waimbaji Vijana Wanaofanya Vizuri Zaidi Katika Muziki Wa Injili Hapa Tanzania.

Angel Benard.

Pia Atakuwa Akizindua Album (DVD) Yake Ya NEW DAY Mwezi Ujao (May).Kijana Mahili Kabisa Toka Yesu Okoa Mitaa Ananyimbo Tatu Tu Lakini Zinatikisa Mitandaoni.


Jessica Honere. (Bm)
Tarehe 19/04/2015 Atakuwa Anazindua Album (DVD) Yake. Usikose....


Paul Clement.


Alizindua Album (DVD) Yake Miezi Kadhaa Iliyopita. Hakuna Tamasha Kubwa Zitafanyika Dar Es Salaam Huyu Jamaa Asiarikwe, Hii Inaonesha Jamaa Anakubalika.