• Isikupite Hii

    April 5, 2015

    ASKOFU GWAJIMA ATOKA KWENYE WHEELCHAIR NA KUTEMBEA MWENYEWE BAADA YA MAOMBI KWA MUDA WA NUSU SAA.


    Kupitia Ukurasa Wake Wa Facebook Askofu Gwajima Aliandika "Ninamshukuru Mungu nimeinuka kutoka kwenye wheelchair na kutembea mwenyewe baada ya maombi ya kanisa zima kwa muda wa nusu saa.
    Kwa kupigwa kwake, Yesu Kristo nimeponywa!!! Mungu akubariki wewe uliokuwa ukituombea."