April 9, 2015

NEWS: MCHUNGAJI ATAKA KUMCHINJA MWANAE, AKIDAI AMEAGIZWA NA MUNGU.

Mchungaji huyu wa nchini Zimbabwe amekutwa akitaka kumchinja mwanae, Akidai ameagizwa na Mungu.

Je nikweli kwamba wakati huu (Miaka Hii) MUNGU anaweza kumpa mtumishi wake jaribu kama hili??

Mtoto aliyenusulika kuchinjwa.