April 8, 2015

NEWS: MTOTO WA MCHUNGAJI MUNISI AFARIKI DUNIA ARUSHA.


Taarifa za kusikitisha ambazo Gospel Kitaa imezipata ni kuhusu kifo cha Raheli Emmanuel Munisi, ambaye ni binti wa Mchungaji kiongozi wa kanisa la T.A.G Azimio Revival Christian Church lililopo Kware, Kata ya Elerai jijini Arusha (Sakina) - Soseji.

Kwa mujibu wa Mchungaji George Munisi, Raheli ameaga dunia Jumanne usiku. Raheli amezaliwa tarehe 26 Juni 1980. Endelea kutembelea Tim Heaven nasi tutakufahamisha zaidi. Msiba uko kanisani Azimio.

Source: Gospel Kitaa