April 27, 2015

MAAJABU: UNAIKUMBUKA ILE MVUA YA SAMAKI ILIONYESHA KULE THAILAND? VIDEO YAKE HII HAPA!.

Mitandao na vyambo vingi vya habari dunia viliandika kwamba mvua ya samaki imenyesha huku thailand, wengine waliamini na wengi wamekuwa na maswali kwamba kama ni mvua ya samaki kwa nini samaki hao wako barabarani tu? Wengine pia wamesema kwamba ni upepo wa kimbunga ndo umewatoa samaki hao majini na kuwatupa nchi kavu. Kwa upande wako unadhani ni nini?
Tazama Video Hapo Chini
                 
By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.