April 5, 2015

UKWELI KUHUSU ROSE MUHANDO KUTOA MIMBA.


Miezi kadhaa iliyopita kulikua na uvumi kuwa Rose Muhando alitoa mimba na kwamba alikuwa anangojea kufikishwa mahakamani lakini baada ya kimya kirefu Rose Muhando amejitokeza na kukanusha madai hayo.
Rose Muhando alisema kuwa yeye ni mama wa watoto watatu na kwamba anapenda sana maisha yake kwa hivyo hawezi fanya kitendo hicho na zaidi ya yote she is a God fearing woman who is running a ministry.

Pia aliamua kuwajibu wale wote waliosema she was hospitalized after her bleaching went wrong…..Rose Muhando alisema, alikua hosy kutibu ugonjwa ambao ulifanya miguu yake kuvimba kwa miezi mitatu na hivi karibuni atatoa ushahidi kutoka kwa Daktari wake ili watu wajue kuwa she is not under 18.

Sikiliza Audio Hii Hadi Mwisho....