April 14, 2015

EXCLUSIVE: HUYU NDIYE MKE MTARAJIWA WA RUNGU LA YESU, TAZAMA PICHA.

Tarehe 12/04/2015 Rungu La Yesu Alimvisha Pete Ya Uchumba Mchumba Wake "Nuru Samson". Tukio Hili Lifanyika Pale DCT Tabata. Rungu La Yesu Akutangaza Inshu Hii Katika Vyomba Vya Habari, Aliamua Kuifanya Kimya Kimya Kama Surprise Kwa Mashibike Wake, Lakini Pia Kama Tunavyojua Kwamba Rungu La Yesu Ni Mtu Wa Watu Yani Anakubalika Sana Mtaani, Hii Pia Ni Sababu Nyingine Kwa Nini Akutangaza Kwa Sababu Aliofia Kwamba Watu Wengi Watataka Kushuhudia Event Hii Kwahio Ukumbi Usinge Tosha.

Rungu La Yesu Alikuwa Kijana Wa Mtaani Tu Kama Vijana Wengine Lakini Maisha Yake Yalibadilika Pale Alipokutana Na Yesu Kristo Na Kubadilishwa Na Sasa Ni Mmoja Kati Ya Waimbaji Wakubwa Wa Muziki Wa Kizazi Kipya Ndani Na Nje Ya Nchi. 

Hii Inamaanisha Kwamba Hata Maishani Kwako Pia Bwana Anaweza Kutenda Jambo Jipya Kama Alivyotenda Kwa Rungu La Yesu.