June 1, 2015

NEWS: BARNABA BOY KUACHIA NYIMBO 4 ZA KUMTUKUZA NA KUMSIFU MUNGU. (check video)

         

Barnaba Boy  ameeleza wazi niayake ya kufanya muziki wa Gospel kwa mwaka huu. Barnaba amesema yeye anampenda Mungu ndio mana akialikwa kwenye event za Gospel ufika. Pia amezungumzia ujio wa nyimbo zake nne anazo tarajia kuzifanya mwaka huu kama sehemu ya kumrudishia Mungu utukufu kwa mafanikio aliyo pata.