• Isikupite Hii

    May 8, 2015

    EXCLUSIVE: BONY MWAITEGE KUACHIA ALBUM MPYA HIVI KARIBUNI.    Kupitia ukurasa wake wa facebook Bony Mwaitege alisema kwamba "Tupo Location kwenye maandalizi ya album mpya itakayotoka hivi karibuniMuongozaji wa video hizi ni Mike Mwakatundu toka kampuni ya Williamz visions Kazi hii ili ikamilike maombi yenu yanatakiwa"    Tupo Location kwenye maandalizi ya album mpya itakayotoka hivi karibuniMuongozaji wa video hizi ni Mike Mwakatundu toka kampuni ya Williamz visions Kazi hii ili ikamilike maombi yenu yanatakiwa
    Posted by Bony Mwaitege on Wednesday, May 6, 2015