May 1, 2015

EXCLUSIVE: DE GOWER KUACHIA SINGLE MPYA HIVI KARIBUNI.


De Gower  Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Gospel Hip Hop) amesema hivi karibuni ataachia wimbo mpya "DISCIPLES" akiwa na SirMbezi Pamoja Na G Stanna chini ya producer K Son Rap.