May 15, 2015

EVENT: KONGAMANO LA MAFUNDISHO, MAOMBEZI NA UPONYAJI MKUU. USIKOSE.


Usikose Katika Kongamano Hili La Mafundisho, Maombezi Na Uponyaji, Pale  GOD'S KINGDOM EMBASSY CHURCH (GKE) Kimara Suka, Nyuma Ya Kituo Cha Mafuta Cha Gapco.

Nabii Na Mwalimu Abraham Laizer Atafundisha, Atakuombea Na Kukutabiria. Waimbaji Mbalimbali Watakuwepo.

May 10 Hadi Juni 28 Kila Siku Kuanzia Saa 10:30 Jioni Hadi Saa 1:30 Jioni. 
Kwa Maelezo Zaidi Piga Simu 0754 391268 au 0717 227168.