• Isikupite Hii

  May 1, 2015

  EVENT: YESU OKOA MITAA‬ WANAKULETEA - USIKU WA VIPAJI NI TAREHE 8/5/2015. USIKOSE.


  Kwa Mara Nyingine Yesu Okoa Mitaa Wanakuletea "USIKU WA VIPAJI", Uliojaa Kila Aina Ya Vipaji Ambao Utafanyika IJUMAA Ya TAREHE 8-5-2015 Katika Kanisa La T.A.G SEGEREA CHAMA Kwa Mchungaji BONVENTURE KATEMBO Kuanzia Saa 3 Usiku Hadi Asubuhi. Hakuna Kiingilio Wote Mnakaribishwa Plus Chai, Kahawa Na Bites Zitakuwepo..

  Usiku Huo Wa Vipaji Utasindikizwa Na Timu Nzima Ya Yesu Okoa Mitaa Pamoja Na Kwaya Mbalimbali, Usipange Kukosa Maana Ni Siku Ya Kihistoria.

  Pia Mchungaji Katembo Atakufundisha Ni Namna Gani Kipaji Chako Kinaweza Kuwa Mtaji Wenye Nguvu Kwenye Maisha Yako.

  Maelezo Zaidi Piga 0712 348032 .