May 11, 2015

EVENT: ARUSHA CITY GOSPEL HIPHOP VIBE CONCERT. USIKOSE.


Ni Jumapili ya tarehe 17 Mei 2015, Kuanzia Saa 8:00 Mchana, Katika Kanisa La Shamba La Yesu Mianzini Stand Ya Hiace Za Kiding'a. Hakuna Kiingilio.

Kwa Maelezo Zaidi Piga +255 716 941 696