August 22, 2015

MUSIC: MOTO WA MTAKASAJI - PRINCE AMOS.


"Wimbo wa Moto wa Mtakasaji ni stori ya kweli inayohusu maisha yangu. Kuna wakati nilipita katika kipindi kigumu sana maishani, Rafiki, na jamaa walinitenga.  Nilizungukwa na giza pande zote nilikua nizame nipotee milele lakini Yesu akaniita na kuniokoa. Nikaamua kumpa Yesu maisha yangu na nimeamua kumtumikia maisha yangu yote." Alisema Prince Amos.