August 21, 2015

EXCLUSIVE: GELAX-WA-KRISTO KUACHIA SINGLE MPYA HIVI KARIBUNI.


Maneno mengi yamekuwa yakisemwa chini kwa chini kuhusu Gelax-Wa-Kristo na single yake mpya. Baada ya maneno hayo kutufikia sisi, tukaamua kumtafuta na hichi ndicho alichosema.

"Yeah Ni Kweli Nitaachia wimbo mpya hivi karibuni, Ngoma unaitwa "Pamoja Nasi", Ngoma hii inaelezea jinsi ambavyo Mungu Roho anavyoishi kwetu kwa IMANI (Kwa atakaye muamini Yesu Kristo ni BWANA na kujazwa Roho Mt. Uyo ndiye Wakristo). kiwango cha ufahamu wetu wa Neno hutenda ivyo ivyo kwenye maisha yetu, kwa Pendo lake na Msaidizi tumepewa, anatufadhili kwa Neema ya Pekee tunayaona yasioonekana. Ref:  math 1:23  #IsAiAh611"

Hayo Ndio Maneno aliyo-yasema Gelax-Wa-Kristo.


Gelax-Wa-Kristo