August 13, 2015

LECRAE AONGOZA! YUKO KWENYE VIPENGELE 7 VYA GMA DOVE AWARDS.

Lecrae

Christian Rapper Lecrae aongoza kwa kuteuliwa mara nyingi zaidi kuliko waimbaji wengine wote katika msimu huu wa tuzo za GMA Dove Awards huko marekani.


Lecrae ameteuliwa katika vipengele 7 vya tuzo hizo za GMA Dove Awards, Moja wapo ni Artist of the Year, Akifatiwa na KING & COUNTRY vipengele 5 kisha Crowder, Matt Maher and Chris Tomlin tally wakiwa kwenye vipengele 4 kila moja. 

Lecrae Devaughn Moore Maarufu kama "Lecrae" alizaliwa October 9, 1979, Mbali na kuwa Rapper Pia Lecrae Ni Songwrite,  Record Producer, Entrepreneur, Actor Na Mwanzilishi Wa Independent Record Label Iitwayo Reach Records. Lecrae Amerecord Album 7 Mpaka sasa na Mixtape 2.