August 5, 2015

Download wimbo mpya: Love - Rungu La Yesu Ft Masebo.

     
   http://www.hulkshare.com/dl/oo819dh9gbnk/hulkshare.mp3?d=1
Pakua Wimbo Mpya "Love" Kutoka Kwa Rungu La Yesu Ft Masebo. Wimbo Huu Ni Moja Ya Nyimbo Kali Sana Ambazo Rungu La Yesu Amewai Kuzifanya. Rungu La Yesu Aliachia Wimbo Huu Special Kwa Ajili Ya Mke Wake "Nuru Rungu".

Wimbo Umefanyika GoodNation Chini Masebo