August 20, 2015

NEWS: VIDEO IKIONYESHA MABASI MAPYA YA KISASA DAR YALIVYOFANYIWA TEST KUBEBA ABIRIA.

         


Mabasi mapya ya kisasa yatambulishwa rasmi kwa Watanzania, mabasi yatakayo safirisha abiria kwa haraka zaidi kwa sababu yanakupitia kwenye barabara yake maalum, ni mradi ambao una miaka zaidi ya 10 toka umeanza kufanyiwa kazi.

Pamoja na kufanikiwa kufika walipofika, Mabasi haya yaliyojaribiwa milango ya abiria kushuka na kupanda iko kushoto hivyo abiria wanalazimika kushukia na kupandia upande tofauti na ilivyotakiwa, tazama hii video hapa chini.