August 25, 2015

INTERVIEW: CHRISTINA SHUSHO, UPENDO KILAHIRO, UPENDO NKONE WAKIONGELEA MWELEKEO WA MUZIKI WA INJILI TZ.

Tazama mahojiano haya, waimbaji wakongwe na wakali wa muziki wa injili Christina Shusho, Upendo Nkone pamoja na Upendo Kilahiri wakizungumza juu ya mwelekeo wa muziki wa injili Tanzania.