August 24, 2015

MUSIC VIDEO: HIVI NILIVYO - MARTHA MWAIPAJA FT BEATRICE MWAIPAJA.

         

Video Hii "Hivi Nilivyo" toka kwa Martha Mwaipaja Akiwa na Mdogo wake Beatrice Mwaipaja iliachiwa rasmi miezi michache iliopita, Chini ya director Jackson Joachim Wa Ives Entertainment.